Hapa ni mahali pa kupata Neno la Mungu na kujadili mambo ya Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel. Damu ya Yesu ni Damu yenye thamani kuliko damu ya wanyama wachinjwao, ina thamani hata kuliko damu ya Habili. Ni Damu iliyomwagwa pasipo hatia na ya Mwana pekee wa Mungu, Mwanakondoo aliyechinjwa kwaajili ya wanadamu wote.

Friday, August 15, 2014


0 comments:

Post a Comment

Yesu anaweza
Powered by Blogger.

Translate

About us

Watumwa wa Bwana Yesu. Mimi na familia yangu tunaishi Dar es Salaam. Mungu ametubarikia familia ya furaha na amani yenye watoto wanne, wakiume kwa wakike. Sifa na shukran tunampa yeye Mungu, Muumba mbingu na nchi. Amina.

Latest Photos

latest comments

Contact us

Tafadhali, kama una swali lolote kuhusu Neno la Mungu, msaada wa Maombi au ushuhuda wa aina yeyote ile, wasiliana nasi kwa anwani hii hapa chini;- DAMU YA YESU KRISTO MBEMBERS P.O BOX 102 DAR ES SALAAM TANZANIA, EAST AFRICA EMAIL; greethilda@yahoo.com UBARIKIWE NA BWANA YESU!