Friday, August 15, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
Yesu anaweza
CATEGORY >
Damu ya Yesu Kristo
Hapa ni mahali pa kupata Neno la Mungu na kujadili mambo ya Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel. Damu ya Yesu ni Damu yenye thamani kuliko damu ya wanyama wachinjwao, ina thamani hata kuliko damu ya Habili. Ni Damu iliyomwagwa pasipo hatia na ya Mwana pekee wa Mungu, Mwanakondoo aliyechinjwa kwaajili ya wanadamu wote.
Powered by Blogger.
Translate
About us
Watumwa wa Bwana Yesu. Mimi na familia yangu tunaishi Dar es Salaam. Mungu ametubarikia familia ya furaha na amani yenye watoto wanne, wakiume kwa wakike. Sifa na shukran tunampa yeye Mungu, Muumba mbingu na nchi. Amina.
Latest Photos
latest comments
Contact us
Tafadhali, kama una swali lolote kuhusu Neno la Mungu, msaada wa Maombi au ushuhuda wa aina yeyote ile, wasiliana nasi kwa anwani hii hapa chini;-
DAMU YA YESU KRISTO MBEMBERS
P.O BOX 102
DAR ES SALAAM
TANZANIA, EAST AFRICA
EMAIL; greethilda@yahoo.com
UBARIKIWE NA BWANA YESU!






